Kathryn Bernardo Swahili Biography





Kathryn Chandy Manuel Bernardo amezaliwa March 26, 1996 ni mwigizaji, mwanamitindo na mwanamuziki wa nnchini Filipino. Alianza kuigiza mwaka 2003, akiwa na miaka 6 alipata nafasi ya kuigiza kama Cielo mdogo katika tamthilia ya ABS-CBN's It Might Be You. Mafanikio ya It Might be you ulikuwa mlango kwake katika tasnia ya uigizaji na mwaka 2004 akaigiza tena katika tamthilia ya Krystal kama Bulinggit. Mafanikio haya yalimpa nafasi sana na Mwaka  akaigiza kama Young Carina Mojica dela Cerna  katika tamthilia ya akapata nafasi ya Vietnam Rose. mafanikio katika mwaka 2005 yalimpatia nafasi ya kutangaza kipindi cha watoto na rafiki yake kipendi Julia Montes kipindi cha Goin' Bulilit kuanzaia walicho tangaza wakiwa pamoja mpaka mwaka 2008. Mwaka 2006 akapata nafasi ya kuigiza kama muigizaji mkuu katika tamthilia ya Inggo kama Maya, Kupendwa na watazamaji a tamthilia nnchini Philippine kulifanya uongozi ulio kuwa ukisimsimamia kuendelea kumpa nafasi yakatika tamthilia mbali mbali.tMwaka 2010 GMA wakampa kwaliko wa kuigiza katika tamthilia ya
Endless Love. ambazo zilioneshwa kwa wakati mmoja na Mara Clara mwaka 2010. Ikiwa ni bahati kwake kwa tamthilia mbili alizo igiza kuoneshwa kwa wakati mmoja kulipelekea kumuongezea umaarufu sana na kujiongezea mashabiki wengi zaidi.
Mafanikio ya Mara Clara katika mwaka 2010 yalipelekea Kath kuonekana kuwa atakuja kuwa mwigizaji wakike tishio katika tasnia ya uigizaji nnchini Philippine.

Mwaka 2006 akapata nafasi ya kuigiza kama muigizaji mkuu katika tamthilia ya Inggo kama Maya, Kupendwa na watazamaji a tamthilia nnchini Philippine kulifanya uongozi ulio kuwa ukisimsimamia kuendelea kumpa nafasi yakatika tamthilia mbali mbali.tMwaka 2010 GMA wakampa kwaliko wa kuigiza katika tamthilia ya
Endless Love. ambazo zilioneshwa kwa wakati mmoja na Mara Clara mwaka 2010. Ikiwa ni bahati kwake kwa tamthilia mbili alizo igiza kuoneshwa kwa wakati mmoja kulipelekea kumuongezea umaarufu sana na kujiongezea mashabiki wengi zaidi.
Mafanikio ya Mara Clara katika mwaka 2010 yalipelekea Kath kuonekana kuwa atakuja kuwa mwigizaji wakike tishio katika tasnia ya uigizaji nnchini Philippine. Baada ya mafanikio makubwa ya Mara Clara mwaka 2011 akiwa na Julia Montes kwa mara nyingine tena wakaigiza tena katika tamthilia ya Growing Up na hapo ndio ulikuwa mwanzo wake kuigiza akiwa na Daniel Padilla. Ndani ya Mwaka huo huo 2011 akaigiza tena akiwa na Julia Montes katika filamu ya  Way Back Home wakiwa na Enrique Gill

Baada ya kuigiza wakiwa na Daniel Padilla katika tamthilia ya Growing Up. Mwaka 2013 uongozi unao wasimamia uliamua kutengeneza Loveteam ya Daniel na Kath kwa kuwaweka pamoja katika tamthilia ya Princess and I Kath akiwa muigizaji mkuu na Daniel kuwa muigizaji mkuu msaidizi, pia alikuwamo Enrique Gill. Ndani ya mwaka huo huo 2013 wakaigiza tena katika tamthilia nyingine kwa pamoja Daniel na Kath tamthilia ya Go to Believe, kwa kuwa tamthilia ya Go to Believe ilikuwa katika mahadhi ya kiuchekeshaji ABS-CBN wakaamua kuwaweka tena katika filamu ya vichekesho ya 24/7 in love. Baada ya hapo Kath akaendelea kufanya vizuri na tamthilia nyingi wakiwa na Daniel Padilla na kufanya kuendelea kupendwa zaidi. Mwaka 2015, katika kuirudia tamthilia ya The promise wakapata nafasi ya kuigiza tena kama muigizaji Kath na Daniel akiwa muigizaji mkuu msaidizi, Inaaminika kwamba Kath aliitendea vyema nafasi yake na kumzidi Kristina Hermosa wa The Promise ya mwaka 2002. Mafanikio ya The Promise ikawapa tene nafasi ya KathNiel kuigiza katika tamthili aya La Luna Sangre ya mwaka 2017 ikiwa ni muendelezo wa tamthilia za Lobo ya mwaka 2008 na Imortal ya mwaka 2010 wao wakiwa waigizaji wakuu

Mbali na mafaniko katika uigizaji pia amefanikiwa kutoa albamu ya muziki mwaka 2014 inayo fahamika kama Kathryn ikiwa na nyimbo 19 na alifanikiwa kugonga Platinum mara 1, na hayo kwake ni mafanikio makubwa sana katika maisha yake ya Muziki. Mbali na album hiyo pia amefanikiwa kutoa single 4 na miongoni mwa hizo single zimetumika kama Sound tracks kwenye baadhi ya tamthilia alizo fanya na kwenye baadhi ya filamu

Kath alithibitisha ya kwamba yupo katika mahusianao na Daniel Padilla na mahusiano yao yalikuwa ya siri kwa karibu miaka 4. Kath alisoma katika shule ya AB Montessori Center Inc. kabla ya kuanza kuigiza mwaka 2003.Akiwa anaendelea na uigizajiiliwalazimu wazazi wake kumtafutia mwalimu wa kumfundisha nyumbani kutokana na kulazimika kuacha masomo na kuingia katika uigizaji akiwa katika umri mdogo. Kwasasa anasoma katika chuo cha
Enderun Colleges, Taguig, anasomea Masoko (marketing). Rafiki yake mkubwa ni Julia na wamekua na kucheza pamoja licha ya tofauti za kifedha walizokuwa nazo, katika maisha yao ya utotoni Kathryn alisha wahi kamatwa akiiba sukari na baadhi ya vitu kumpelekea Julia walio kuwa wakisoma shule mbili tofauti zilizo kuwa zikipakana. Kathryn amekuwa mmoja ya watu walio msaidia Julia kuingia katika tasnia ya uigizaji. Kath ni muumini wa imani ya kikristo (Katoliki),

Popular posts from this blog

Ina, Kapatid, Anak "Her Mother's Daughter"

Walang Hanggan "My Eternal"

Endless Love Philippine Drama