Posts

Showing posts from August, 2013

Nyumba mpya ya Julia Montes

Image
Hii ni nyumba anayo ishi yeye na mama yake na bibi yake Hili ndilo lango kuu la kuingilia Chumba anacho lala yeye Baadhi ya mashabiki zake wakiwa wamerundikana nje ya nyumba yake Utajiri wake unakaribia dola za kimarekani milion 4. Licha ya kukulia maisha magumu, ameweza kujijengea heshima na kujipatia kipato kupitia kazi yake hii ya uigizaji na uanamitindo na kujipata washabiki zaidi ya milion 2 kwenye ukurasa wake wa Twitter na zaidi ya milioni moja na nusu kwenye ukurasa wake wa Facebook na zaidi ya wafuasi laki mbili kwenye ukurasa wake wa Instagram duniani kote