Posts

Showing posts from 2017

X boyfriend wa Kim Chiu (Celine/Isabel or Andre) Gerald Anderson akubali kuwa na urafiki na X magirlfriend zake wote

Image
Baada ya kutoka kimapenzi na marafiki wawili wa kubwa na wa muda mrefu kwa wakati tofauti Maja Salvador na Kim Chiu, bwana Gerald Anderson ulio pelekea ugomvi mkubwa baina ya hao marafiki, hali iliyo pelekea kampuni ya ABS-CBN kuanda tamthilia ya pamoja ili kuwapatanisha (Her Mothers Daughter). Wiki hii ametoa mpya baada ya kukiri kuwa bado ana urafiki na wapenzi wake wote wa zamani ikiwamo Kim Chiu na Maja Salvador na yeye huwa hapendi kila anapo achana na mwanamke awe na uadui nae alimaliza kwa kusema. Awali akiwa na mahusiano na Kim Chiu ali fanikiwa kumteka rafiki wa karibu wa Kim, Miss Maja Salvado (Margux) na kumuweka katika himaya yake kabla ya kumpiga chini na kuhamisha makazi yake kwa mwanadada Bea Alonzo Kwa sasa anaripotiwa kuwa na mahusiano na mwanadada Bea Alonzo mahusiano yanayo zidi kupamba motpo kila kukicha, ingawa tabia ya Gerald inajulikana kuwa huwa hatulii na mwanamke kwa muda mrefu Endelea kuwa nasi kwa story za mastaa wa Philippine