Kathryn Bernardo Swahili Biography
Kathryn Chandy Manuel Bernardo amezaliwa March 26, 1996 ni mwigizaji, mwanamitindo na mwanamuziki wa nnchini Filipino. Alianza kuigiza mwaka 2003, akiwa na miaka 6 alipata nafasi ya kuigiza kama Cielo mdogo katika tamthilia ya ABS-CBN's It Might Be You. Mafanikio ya It Might be you ulikuwa mlango kwake katika tasnia ya uigizaji na mwaka 2004 akaigiza tena katika tamthilia ya Krystal kama Bulinggit. Mafanikio haya yalimpa nafasi sana na Mwaka akaigiza kama Young Carina Mojica dela Cerna katika tamthilia ya akapata nafasi ya Vietnam Rose. mafanikio katika mwaka 2005 yalimpatia nafasi ya kutangaza kipindi cha watoto na rafiki yake kipendi Julia Montes kipindi cha Goin' Bulilit kuanzaia walicho tangaza wakiwa pamoja mpaka mwaka 2008. Mwaka 2006 akapata nafasi ya kuigiza kama muigizaji mkuu katika tamthilia ya Inggo kama Maya, Kupendwa na watazamaji a tamthilia nnchini Philippine kulifanya uongozi ulio kuwa ukisimsimamia kuendelea kumpa nafasi yakatika tamthilia mbali mbali...