Posts

Showing posts from 2019

Kathryn Bernardo Swahili Biography

Image
Kathryn Chandy Manuel Bernardo amezaliwa March 26, 1996 ni mwigizaji, mwanamitindo na mwanamuziki wa nnchini Filipino. Alianza kuigiza mwaka 2003, akiwa na miaka 6 alipata nafasi ya kuigiza kama Cielo mdogo katika tamthilia ya ABS-CBN's It Might Be You. Mafanikio ya It Might be you ulikuwa mlango kwake katika tasnia ya uigizaji na mwaka 2004 akaigiza tena katika tamthilia ya Krystal kama Bulinggit. Mafanikio haya yalimpa nafasi sana na Mwaka  akaigiza kama Young Carina Mojica dela Cerna  katika tamthilia ya akapata nafasi ya Vietnam Rose. mafanikio katika mwaka 2005 yalimpatia nafasi ya kutangaza kipindi cha watoto na rafiki yake kipendi Julia Montes kipindi cha Goin' Bulilit kuanzaia walicho tangaza wakiwa pamoja mpaka mwaka 2008. Mwaka 2006 akapata nafasi ya kuigiza kama muigizaji mkuu katika tamthilia ya Inggo kama Maya, Kupendwa na watazamaji a tamthilia nnchini Philippine kulifanya uongozi ulio kuwa ukisimsimamia kuendelea kumpa nafasi yakatika tamthilia mbali mbali...

Asintado

Image
                                                                      Asintado                                                                       The Plot The older sibling Katrina is eager to shed her old life for the gilded world of her rich and powerful adopted parents, as she shuts off the me...

Julia Montes Swahili Biography

Image
Mara Hautea Schnittka amezaliwa March 19, 1995 ni maarufu kwa jina la Julia Montes, ni muigizaji, mwanamitindo, mtangazaji na muandaaji wa filamu kutoka nchini Philippine. Amezaliwa nchini Philippine na mamayake ambaye ni kiziwi anaitwa Gemma Hautea ambaye ni Mfilipino na baba yake Martin Schnittka. Schnittka ambaye ni Mjerumani. Baba yake aliondoka kipindi Julia akiwa mdogo sana na kuiacha familia yake na alilelewa na mama yake ambaye ni kiziwi kwa msaada wa bibi yake Flory Hautea ambaye hakuwa na uwezo sana. Mbali na Julia pia ana wadogo zake wawili ambao ni Patrick and Paolo walie share mama ila kila mmoja ana baba yake. Katika maisha yake aliamini kwamba elimu ndio njia pekee ya yeye kupata maisha bora, katika umri mdogo alikuwa akujishughulisha na shughuli mbalimbali ikiwa ni njia ya kupata chochote kwa ajili ya familia yake. Akiwa na miaka mitano alianza kujitokeza kutafuta nafasi katika makampuni yaliyo kuwa yakitafuta watoto kwaajili ya matangazo. Akiwa na miaka mitano ...