Posts

Kathryn Bernardo Swahili Biography

Image
Kathryn Chandy Manuel Bernardo amezaliwa March 26, 1996 ni mwigizaji, mwanamitindo na mwanamuziki wa nnchini Filipino. Alianza kuigiza mwaka 2003, akiwa na miaka 6 alipata nafasi ya kuigiza kama Cielo mdogo katika tamthilia ya ABS-CBN's It Might Be You. Mafanikio ya It Might be you ulikuwa mlango kwake katika tasnia ya uigizaji na mwaka 2004 akaigiza tena katika tamthilia ya Krystal kama Bulinggit. Mafanikio haya yalimpa nafasi sana na Mwaka  akaigiza kama Young Carina Mojica dela Cerna  katika tamthilia ya akapata nafasi ya Vietnam Rose. mafanikio katika mwaka 2005 yalimpatia nafasi ya kutangaza kipindi cha watoto na rafiki yake kipendi Julia Montes kipindi cha Goin' Bulilit kuanzaia walicho tangaza wakiwa pamoja mpaka mwaka 2008. Mwaka 2006 akapata nafasi ya kuigiza kama muigizaji mkuu katika tamthilia ya Inggo kama Maya, Kupendwa na watazamaji a tamthilia nnchini Philippine kulifanya uongozi ulio kuwa ukisimsimamia kuendelea kumpa nafasi yakatika tamthilia mbali mbali...

Asintado

Image
                                                                      Asintado                                                                       The Plot The older sibling Katrina is eager to shed her old life for the gilded world of her rich and powerful adopted parents, as she shuts off the me...

Julia Montes Swahili Biography

Image
Mara Hautea Schnittka amezaliwa March 19, 1995 ni maarufu kwa jina la Julia Montes, ni muigizaji, mwanamitindo, mtangazaji na muandaaji wa filamu kutoka nchini Philippine. Amezaliwa nchini Philippine na mamayake ambaye ni kiziwi anaitwa Gemma Hautea ambaye ni Mfilipino na baba yake Martin Schnittka. Schnittka ambaye ni Mjerumani. Baba yake aliondoka kipindi Julia akiwa mdogo sana na kuiacha familia yake na alilelewa na mama yake ambaye ni kiziwi kwa msaada wa bibi yake Flory Hautea ambaye hakuwa na uwezo sana. Mbali na Julia pia ana wadogo zake wawili ambao ni Patrick and Paolo walie share mama ila kila mmoja ana baba yake. Katika maisha yake aliamini kwamba elimu ndio njia pekee ya yeye kupata maisha bora, katika umri mdogo alikuwa akujishughulisha na shughuli mbalimbali ikiwa ni njia ya kupata chochote kwa ajili ya familia yake. Akiwa na miaka mitano alianza kujitokeza kutafuta nafasi katika makampuni yaliyo kuwa yakitafuta watoto kwaajili ya matangazo. Akiwa na miaka mitano ...

X boyfriend wa Kim Chiu (Celine/Isabel or Andre) Gerald Anderson akubali kuwa na urafiki na X magirlfriend zake wote

Image
Baada ya kutoka kimapenzi na marafiki wawili wa kubwa na wa muda mrefu kwa wakati tofauti Maja Salvador na Kim Chiu, bwana Gerald Anderson ulio pelekea ugomvi mkubwa baina ya hao marafiki, hali iliyo pelekea kampuni ya ABS-CBN kuanda tamthilia ya pamoja ili kuwapatanisha (Her Mothers Daughter). Wiki hii ametoa mpya baada ya kukiri kuwa bado ana urafiki na wapenzi wake wote wa zamani ikiwamo Kim Chiu na Maja Salvador na yeye huwa hapendi kila anapo achana na mwanamke awe na uadui nae alimaliza kwa kusema. Awali akiwa na mahusiano na Kim Chiu ali fanikiwa kumteka rafiki wa karibu wa Kim, Miss Maja Salvado (Margux) na kumuweka katika himaya yake kabla ya kumpiga chini na kuhamisha makazi yake kwa mwanadada Bea Alonzo Kwa sasa anaripotiwa kuwa na mahusiano na mwanadada Bea Alonzo mahusiano yanayo zidi kupamba motpo kila kukicha, ingawa tabia ya Gerald inajulikana kuwa huwa hatulii na mwanamke kwa muda mrefu Endelea kuwa nasi kwa story za mastaa wa Philippine

Julia Montes Net Worth

Image
In 2013 it looked like the actress’s spectacular career was winding down. Suddenly, she was back on top. People With Money reports on Monday (May 16) that Montes is the highest-paid actress in the world, pulling in an astonishing $58 million between April 2015 and April 2016, a nearly $30 million lead over her closest competition. People With Money’s factors In compiling this yearly list, the magazine considers factors such as upfront pay, profit participation, residuals, endorsements and advertising work. The Filipino actress-model has an estimated net worth of $185 million. She owes her fortune to smart stock investments, substantial property holdings, lucrative endorsement deals with CoverGirl cosmetics. She also owns several restaurants (the “Fat Montes Burger” chain) in Manila, a Football Team (the “Quezon City Angels”), has launched her own brand of Vodka (Pure Wondermontes - Philippines), and is tackling the juniors market with a top-selling perfume (With Love from Julia)...

Coco Martin Net Worth

Image
Coco Martin net worth: Coco Martin is a Filipino actor who has a net worth of $120 million dollars. Coco Martin was born in Novaliches, Quezon City, Philippines, and grew up with his grandmother. He began his career as part of "Star Magic", and made his film debut in 2001. He then worked primarily in commercials for the next several years. He has become one of the Philippines most celebrated actors and has won a large number of awards. In 2005, his on-camera career took off and he began to work steadily. Coco Martin House Nyumba hii ili buniwa nchini Australia na ni miongoni mwa n yumba za kifahari unazo weza kuziona Quizone city nchin Philippine Swimming pool lililoko ndani ya nyumba yake Sitting room, jiko, pamoja chumba cha kulala Muonekano kwa juu Coco Martin akiwa nyumbani kwake

Tomorrow Belongs to Me

Image
“Tomorrow Belongs to Me” Its tells the story of Rose, an heir to one of the country’s biggest chocolate manufacturers accused of murdering her own father. As she faces legal charges, Rose will find refuge in her lawyer Emmanuelle, who bears an apparent physical resemblance to her. One fateful night, the two get involved in a car accident and Rose wakes up in a hospital bed surrounded by Emmanuelle’s family, who believe she is Emmanuelle. Assuming her lawyer’s identity, Rose sets out to regain the company that was taken from her and seeks justice for her murdered father. But above else, she also vows to take revenge on one person who betrayed her trust the most— the love of her life, Patrick